Thursday, 15 July 2021

Director_Jamvia

 https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=4060732687337019&id=100002009825125&sfnsn=mo

Kwende pamoja tukapate mabadiliko kwenye tasnia yetu ya sanaa ya maigizo ingia kwenye hiyo link na ujaze fomu ili uweze kupata nafasi ya kushiriki katika Project ya Movie 

Director Jamvia ndio atakaye ongoza akiwa na timu kubwa iliyo bobea katika uwaandaji wa filamu 

Kumbuka kuna kampuni kubwa mbili za ushutaji wa filamu tayari zimeungana kwaajili ya kufanya filamu hi moja but vigezo na mashariti kuzingatiwa.

Karibu sana.

Wednesday, 14 December 2016

director jamvia

 kwa miaka michache tu mwana komerd uyoo Bayor ameongea na hi blog ya kwamba amepata mafanikio makubwa kwa kucheza clip chache tu  .......


Wednesday, 9 November 2016

MKULUGENZI WA PULIKE ASHAURI VIJANA WA KILEO.. ...

Ashuri kila kijana apambane katika fani yake
Maana ipo siku wataaona mafanikio katika fani iyo,
Haswa katika fani ya ugizaji wa sinema maana hata yeye alikua kama wao

Alikutana na vijana 09/11/2016
Aliweza kuwashuri na kuwapa fulsa ya kujiunga na kundi lake pulike kwa gharama nafuu ili waweze kujiendeleza na fani iyo....