Wednesday, 9 November 2016

MKULUGENZI WA PULIKE ASHAURI VIJANA WA KILEO.. ...

Ashuri kila kijana apambane katika fani yake
Maana ipo siku wataaona mafanikio katika fani iyo,
Haswa katika fani ya ugizaji wa sinema maana hata yeye alikua kama wao

Alikutana na vijana 09/11/2016
Aliweza kuwashuri na kuwapa fulsa ya kujiunga na kundi lake pulike kwa gharama nafuu ili waweze kujiendeleza na fani iyo....


Tuesday, 8 November 2016

Pulike Curuture Group Yazinduliwa lasmi...

Katika kuzunguka pande za dar tukagumiana na wakali wa sanaa  ya maigizo wapanga kuzindua kund ihilo lasmi tumeweza kuzunguka na viongozi wao Patrick P.




Nevelle na Justine Thomas Jamvia ili kujua tarehe na muda piga hi no. +225 719492979