https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=4060732687337019&id=100002009825125&sfnsn=mo
Kwende pamoja tukapate mabadiliko kwenye tasnia yetu ya sanaa ya maigizo ingia kwenye hiyo link na ujaze fomu ili uweze kupata nafasi ya kushiriki katika Project ya Movie
Director Jamvia ndio atakaye ongoza akiwa na timu kubwa iliyo bobea katika uwaandaji wa filamu
Kumbuka kuna kampuni kubwa mbili za ushutaji wa filamu tayari zimeungana kwaajili ya kufanya filamu hi moja but vigezo na mashariti kuzingatiwa.
Karibu sana.